Documentary Mpya Pamoja na Album Mpya ya Rapper Snoop Dogg kuamua kubadilisha maisha yake ya Kigangsta na kuwa Rasta,pia kubadilisha aina ya muziki aliokua akifanya kwa muda mrefu na kuimba Reggae.Anavosema Snoop katika Trailer ya Documentary yake Ni kwamba Maisha yake sasa ndo yapo sehemu aliokua akitarajia kuapo siku nyingi sema ni muda tu ndo ulikua haujafika.Alipoenda Jamaica alikutana na weze wa kijamaica wakampa baraka zao na kumbadilisha jina nw kumuita Snoop Lion. Documentary yake itaonyeshwa kwa mara ya kwanza tarehe 7 mwezi wa 9 mwaka huu kwenye maonyesho ya Filamu Toronto.
Huu Ndo Muonekano Mpya Wa Snoop Dogg(Snoop Lion)
Hii Ndo Trailer Ya Doccumentary yake mpya itakayo onyeshwa kwenya maonyesho ya film Toronto.
This Track is Produced by DefXtro from Noizmekah records n Performed by a new Rapper called Straton Mo Panish from the crew called Ukanda wa gaza(Gaza Gang) from Arusha,Tanzania.The track is Tittled Maradhi.
This is a new video by A-City Rapper G.nako from a crew called Nako 2 Nako Soldiers & Weusi Music Group which Features singer & Rapper from Dar-Es-Salaam called Ambwene Yessaya(A.Y) & AntoNe-Yo a.k.a The Artist underground singer n rapper from the United States of America.
Enjoy the song.
Mambo Jambo Summer Jam,Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A City is in tha houseeee!!! Bounako, StopaRhymez, Fidovato, WEUSI, TaigaRaiz, Badtaito, J4c, MayC, Veejay, Gfaya, Meccacheka, EffectZero, Gentriez, YungOmega na MirryCandle juu ya stage la kibabe, sound ya kibabe so kama vp jichange buku mbili siku iyo tewnde sawa kibabeeeeeee!!!!endelea kuskiza radio yako inayoaminika..93.0 Mambo Jambo Radio..
Famous rapper From Arusha,Tanzania from the Crew known as River Camp Soldiers & a Family Music Group well known as Weusi Called Nikki Wa Pili Freestyln on Hiz Birth which waz on 9/8/2012.
New Reggae Video by Yuzzo from a crew known as Watengwa Family from Arusha,Tanzania the song is tittled Never Run Away.It was taken in Sweden the place where he is currently living with hiz Family.