This is a song from Rapper Gentriez Mwakitabu from Arusha Tanzania Representin Wanene Entertainment and River Camp Soldierz-Sinoni D2-Arusha featuring a girl called Ailer.
Saturday, October 6, 2012
PLEASE VOTE FOR QUANBEATZ,RAPPER FROM WANENE ENTERTAINMENT IN THE UNITED STATES SO AS TO ENABLE HIM TO PERFORM IN COAST2COAST INDUSTRY SHOWCASE AT CHICAGO.
KUTOKA WANENE ENTERTAINMENT ARUSHA AMBAYO PIA KWA SASA INAJITAHIDI KUPANDISHA VIPAJI VYA WASANII WA TANZANIA NA HUYU NI PRODUCER NA MSANII AMBAYE ANAFANYA KAZI NA WANENE ENT. PANDE ZILE ZA AMERICA ALIPO PRODUCER DARSH KWA SASA
Quantrell Wilkes, better known by his stage name "QuanBeatz", ni rapper/producer kutoka Mid-west ambaye yupo Wanene Entertainment-Arusha.
Msanii huyu ambaye pia ni Producer ni mmoja kati ya watu wanaoupa tough mziki wa Bongo pande zile za Amerika ambapo anaziupload ngoma za bongo katika Web tofauti zinazotembelewa sana pande zile za nje na hata hivyo yuko Tayari kufanya kazi na msanii yeyote wa Bongo ukimtafuta wasiliana tu na Producer Darsh Pandit Mmiliki wa Wanene Entertainment
| QUANBEATZ |
Bonyeza Hii Link alafu kama upo Facebook then utaona alama ya facebook mbele yake imeandikwa vote vivyo Hivyo na twitter.
http://coast2coastmixtapes.com/audiodetail.aspx?audioid=200097
![]() |
| QUANBEATZ AT STUDIO. Hii ni Nyimbo yake inaitwa My City ambaye biti Kagonga mwenyewe na kamshirikisha Msanii mwenzake anaejulikana kama Mac Milli: "Wanene iz in da house..." |
Thursday, October 4, 2012
MAUJANJA SAPLAYAZ FEAT. DAN MSIMAMO,MKOLONI,DAMM K & LUDIGO - ZAWADI.
Enjoy!!
Wednesday, October 3, 2012
CANNIBAL,JCB,MO PLUS,NAKAAYA,NIKI WA PILI,BONTA,JOES,SLIM DIZZY,GNAKO,THAI THAI I & TRICKY D.T - WAZI.
AFRICAN FEMMC'S VOL-1 NET TAPE.
This is the Back Cover For African Femmc's net tape which was created in Dakar by Deejay Leo Hurricane at Hurricane Studios and Afrihooop which comprises of different tracks from African Female Emcees all around African Continent,It was released on 14th of september 2012.
Tuesday, October 2, 2012
RAPPA GAME NA 50 CENT KUMALIZIA MIKATABA YAO NA INTERSCOPE.
Marappa hawa wakongwe wawili yaani Game na 50 Cent ambae ni kiongozi wa kundi linalojulikana kama G-Unit wamesema kua wanatoa Album zao za mwisho chini ya interscope record kumalizia mikataba yao.Rappa 50Cent amesema kuwa album yake hiyo itaitwa Street king Immortal,itatoka mwezi novemba tarehe 13 mwaka huu(2012) na itakua na nyimbo kumi na Nne na Deluxe edition itakua na nyimbo kumina nane(Nyongeza ya nyimbo nne).Nyimbo inayotamba kwa sasa kwenye stesheni za redio ulimwenguni kutoka kwenye album hiyo ya 50 Cent unaitwa New day aliomshirikisha Mc/Rappa na Producer Andre young anaejulikana vema kama Dr.dre na Msanii wa kike wa RnB anaejulikana kama Alicia Keyz.Kwa Upande Mwingine,Album ya Rappa The Game itaitwa Jesus Piece ambayo itaachiwa mwezi huohuo pamoja na album ya 50 Cent.Nyimbo inayotamba kutoka kwenye albu hiyo ya The game kwa sasa kwenye stesheni za redio inajulikana kama Celebration aliyomshirikisha Rapper mkubwa wa kizazi kipya kutoka kundi la YMCMB, Lil Wayne na Rapper kutoka Taylor Gang anaeitwa Wiz khalifah pamoja na Msanii wa RnB anaejulikana vema kwa jina la Chris Brown.
![]() |
| 50 cent |
![]() |
| GAME |
SHULE MIXTAPE DROPPIN SOON.
Rapper Ziggilah a.k.a Kzz(Kizaazaa) the Soul plugger of Xplastaz From Arusha,Tanzania whoz currently living in Swedden iz Expecting to Drop hiz Mixtape called 'Shule' Which Means Knowledege.Ziggilah Said the mixtape will feature MC'Z n Rapperz lyk JCB(Jesus Comes Black),Jay Moe,Fareed kubanda a.k.a Fid Q,Wakazi,Solo thang,Yuzzo from Watengwa family,P the Mc,Kbc da Kwanzania from Kwanza Unit and other few Mcs.He said that the Mixtape iz Expected to drop in November this year(2012).
Tuesday, September 25, 2012
Sunday, September 23, 2012
WANENE CYPHER #1:KC MONSTA,FIDO,LAVOSTI,JODO MAN & DOGO TUNDU.
Saturday, September 22, 2012
Friday, September 21, 2012
S.U.A:JIONI JIONI FLANI.
Sunday, September 9, 2012
ANNOUNCEMENT:DAZ NALDGE'S LOSS.
We are sad to announce that producer from Watengwa Records from Kijenge juu @ Arusha,Tanzania Daudi Bakari A.k.a daz Knowledge(Daz Naledge) haz lost his uncle and the funeral will take place @ Ngarenaro Arusha today,God gives n God takes may hiz name be alwayz praised.
Friday, August 31, 2012
Wednesday, August 29, 2012
Sunday, August 26, 2012
SLAUGHTER HOUSE WAKIONGELEA KUHUSU UTAFAUTI ULIONEKANA NA WASHABIKI WAO KWENYE NYIMBO YAO MPYA YA "MY LIFE"
Hili ndilo tamko kutoka katika kundi la hiphop toka marekani linalojulikana kama slaughter house baada ya kuskia kua mashabiki wao wa zamani wamelalamika kuwa wameacha misingi ya real hiphop na kuelekea kwenye Commercial baada ya kutoa video yao ya My Life waliomshirikisha mwanamuziki Cee lo Green kutoka katika kundi la Gnarls Barkley.Kundi Hilo la Slaughter house linaundwa na marapper wanne(Royce da 5"9',Joe Budden,Crooked I na Joel Ortiz).
ZIGGILAH(XPLASTAZ) FT. JCB(WATENGWA) - STORY
Subscribe to:
Posts (Atom)









