Tuesday, October 1, 2013
MAKING THE VIDEO:RAPPA WA MAREKANI DMX AKIFANYA VIDEO YA NYIMBO YAKE MPYA.
![]() |
DMX MAKING THE VIDEO "DONT CALL ME' |
Sunday, September 29, 2013
Thursday, September 26, 2013
EMCEE MKONGWE ANAEJULIKANA KAMA MC LYTE ANATARAJIA KUPOKEA TUZO YA "I AM HIPHOP" KWENYE TUZO ZA BET HIPHOP 2013.
BAADA YA RAPPA MKONGWE RAKIM KUCHKUA TUZO YA "I AM HIPHOP" ILIOTOLEWA NA TUZO ZA BET HIPHOP AWARDS MWAKA JANA SASA,BET YA MTANGAZA ATAKAECHUKUA TUZO HIYO KWA MWAKA HUU(2013) KUWA NI EMCEE MKONGWE WA KIKE ANAEJULIKANA KWA JINA LA KISANII KAMA MC LYTE,AMBAE ALISHA WAHI KUTAMBA NA NYIMBO KAMA KEEP ON ALIOSHIRIKISHA WASANII WA RNB WAJULIKANAO KAMA XSCAPE NA COLD ROCK A PARTY ALICHOMSHIRIKISHA RAPPA MWINGINE WA KIKE ANAEJULIKANA VEMA KAMA MISSY ELIOT.TUZO HIZO ZIMEPANGWA KUFANYIKA TAREHE 15 MWEZI OCTOBA(10) MWAKA HUU(2013) NA ZITATANGAZWA NA MSANII SNOOP DOG(UNCLE SNOOP) A.K.A SNOOP LION NA ZITARUSHWA MOJA KWA MOJA NA CHANNEL YA BET YA MAREKANI.
Wednesday, September 25, 2013
FREESTYLE:THE LOX - HOOD CAKE(POUND CAKE) FREESTYLE.
KUNDI KONGWE AMBALO LILIKUA BAD BOYS RECORDS PAMOJA NA MAREHEMU NOTORIOUS B.I.G & PUFF DADDY A.K.A P.DIDDY LIITWALO THE LOX LINALOUNDWA NA RAPPA STYLES .P, SHEEK LOUCHE NA JADAKISS WAKITOA MITINDO HURU KWENYE BEAT LA NYIMBO YA DRAKE IITWAYO POUND CAKE ALIYOMSHIRIKISHA RAPPA JAY Z KWENYE ALBUM YAKE MPYA YA NOTHING WAS THE SAME.
Tuesday, September 24, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)