CHRONICX®: RAPPER KUTOKA UINGEREZA ALIECHINI YA USMAMIZI WA WANENE ENTERTAINMENT KUFANYA EP YAKE MPYA NA PRODUCER DAZ NALEDGE WA WATENGWA RECORDS.

FOLLOW ME:

Instagram

Friday, November 30, 2012

RAPPER KUTOKA UINGEREZA ALIECHINI YA USMAMIZI WA WANENE ENTERTAINMENT KUFANYA EP YAKE MPYA NA PRODUCER DAZ NALEDGE WA WATENGWA RECORDS.

DAZ NALEDGE (PRODUCER @ WATENGWA RECORDS)


RAPPER LOUIS HAMMOCK FROM U.K.

Baada Ya kutoa Mixtape yake ya kwanza na Daz naledge iitwayo 'untitled' Rapper Louis Hammock Toka Uingereza ambaye kwa sasa yuko chini ya Wanene Entertainment chini ya mtu Mzima Darsh Pandit ambayo ipo Mjini Arusha.Msanii huyo Louis Hammock anatarajia kuachia EP yake ambayo kazi hiyo itafanyika tena pale Watengwa Records chini ya Mkubwa Wa Kazi Daz Naledge & Dab Muzik.(Habari Hizi Toka Tovuti ya Wanene Entertainment)

Skiliza Hii Nyimbo yake ya Kwanza;
                          Louis Hammock - High:

       ###WANENE'Z IN DA HOUSE###

No comments:

Post a Comment