CHRONICX®: RAPPA MKONGWE AJULIKANAE KWA JINA LA BUSTA RHYMES AJITOA KATIKA KUNDI LA YMCMB.
FOLLOW ME:
My Youtube Channel
▼
Saturday, July 26, 2014
RAPPA MKONGWE AJULIKANAE KWA JINA LA BUSTA RHYMES AJITOA KATIKA KUNDI LA YMCMB.
BAADA YA KUWA MWANACHAMA KWA MIAKA MIWILI KATIKA KUNDI LA YOUNG MONEYCASH MONEY(YMCMB) RAPPA MKONGWE ANAEJULIKANA KAMA BUSTA RHYMES AMEJITOA KATIKA KUNDI HILO.AKIONGEA NA MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA RADIO CHA "SWAY IN THE MORNING' KINACHOONGOZWA NA MTANGAZAJI SWAY KWENYE ALISEMA HAKUKUA NA TOFAUTI ZOZOTE KATI YAKE NA WAHUSIKA WA LABEL YA CASH MONEY PAMOJA NA KUNDI LA YMCMB. PIA RAPPA BUSTA RHYMES ALISEMA KUWA AMESHAONGEA NA C.E.O WA LEBO YA CASH MONEY AJULIKANAE KAMA BABY AU BIRDMAN KUHUSIANA NA SWALA HILO NA KAMA KUTATOKEA DHUMUNI LINGINE LA MUUNGANIKO WA KIBIASHARA KATI YAO WATAWEZA KUUNGANA NA KUFANYA HIO BIASHARA. BUSTA RHYMES ANAENDELEA NA MAJUKUMU YAKE KIMZIKI NA AMESHAFANYA NYIMBO ALIYOMSHIRIKISHA RAPPA EMINEM INAYOITWA "CALM DOWN", NA PIA ANATARAJIA KUACHIA ALBUM YAKE YAKE YA KUMI(10) ITAKAYOITWA "E.L.E .2.'
No comments:
Post a Comment