CHRONICX®: October 2010

FOLLOW ME:

Instagram

Friday, October 15, 2010

THE CYPHER 2009 GSAN FEATURED OYYYYYY

Mzee mzima Gsan akirep A-city kwenye The Cypher BET hiphop award ya mwaka jana 2009 A-city stand UPPPPPPPPPP OYYYYYYYYYYYY!!!!!!!!!!!!!!

"THA RETURN OV DOG 'UMBWA MZEE JOMBI' NYANGAU"

Hardcore Rap kutoka Watengwa family anejulikana Kama Chindoman a.k.a umbwa anatarajia kurudi nchini Tanzania mkoani Arusha mwishoni mwa mwezi huu octoba baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda mrefu na familia yake kimaisha.Rapper huyo amesema kuwa atakuja na album yake mpya kwahiyo mashabiki kaeni mkao wa kula.