CHRONICX®: 2012

FOLLOW ME:

Instagram

Thursday, December 27, 2012

CHABA FT. NASH MC - USIPITE HAPA{PRODUCED BY DR.DAZ NALEDGE).

THIS TRACK IS FROM A-CITY EMCEE/RAPPER WHO GOES BY THE NAME OF CHABA REPRESENTING 009 CREW,THE TRACK GOES BY THE NAME PITA HIVI FEATURING EMCEE/RAPPER NASH MC FROM DAR-ES-SALAAM CITY AND ITS PRODUCED BY DR.DAZ NALEDGE FROM WATENGWA RECORDS:


Verse;1 (Nash Mc)


Nash mc eyoo sina bima wala sina mkorogo, ewura na vat,
Usiulize hapa, njoo barabarani kuanzia saa moja usiku utanipata,
Daladala chongo taa moja nawapaka,  Siti magunia kalia au acha,
Wee nani, Mc au rapper,  Maalim Nash ali nakuasa,
Usijaribu haya mambo mawili sio siri ntakukamata,
Kutaka kulewa au kumwiibia pasha, Ukishanasa, mtegoni nakupakata,
Mimi mwanajeshi lakini nyie wanajeshi wa marekani,
Mmeruhusiwa mnaingiliwa mpaka vitani, Wananiita Nash mc hardcore,
Mc chata bwana mc noma kona roba ya koo,
Frank zagarino John Rambo komandoo, Kova sio mwema kwenye patroo,
Saidi kubenea uchebe chata, niite papa John paul,  au Benedictoo,
Wasanii wabovu mnataka kuja nilipo, Njoeni taratibu msije mkaliwa jicho,
ah ah, jukwa lile silitaki wanavua mpaka boxer,
aaah, Napenda makalio lakini yenu yamechoka,

Chorus;

Nash mc, Daz Naledge, Chaba, usipite hapa utapigwa makofiii,
Nash mc, Daz Naledge, Chaba, usipite hapa utapigwa makofiii,
Wewee, utapigwa makofiii, wewee, hivi hauogopiii,
Wewee, utapigwa makofiii, wewee, embu pita hivi…….

Verse;2 (Chaba)

Umeniita Gabriel wa mistari kwa scenario,
Unapata sura funny kama scolio,  Kabla sijaku-crucify,
Nakuwashia ubani wa widi kutayarisha roho yako ku-fly,
Macho yanakutetema angali yako rai,
Inajua kinachofwata unaibusu hii game byebye,  Baridi ni ya kuganda,
Ila mwili joto kama upo njia panda,  Ya mercury na jua,
Yako rap laini kama ya waridi maua,
Imevaa kimini, highhills na hereni kwenye pua,
Ukinisoma, umesoma kitabu cha horror,
Chaba ni kimbunga chenye upepo wenye ugoro,
Unafilisika kuwaza, hii ni biashara ya kipaza,
Unatimbaje na mtaji wa rap kidogo,
Wakati hii vita baridi na wanajeshi mbogo,
Fimbo yangu ya maajabu kwa dada zako ni logo,
Wanaijua vizuri kama nyota njema ya mtaa,
Jogoo ninayetotolesha vifaranga wanaopaa,
Unataka jua hii, embu google my mixtape,
Pita hivi chalii, sisi ni madume ya rap,

Chorus;

Nash mc, Daz Naledge, Chaba, usipite hapa utapigwa makofiii,
Nash mc, Daz Naledge, Chaba, usipite hapa utapigwa makofiii,
Wewee, utapigwa makofiii, wewee, hivi hauogopiii,
Wewee, utapigwa makofiii, wewee, embu pita hivi…….
(LYRICS BY CHABBA 009)


Tuesday, December 25, 2012

I WOULD LIKE TO WISH U A MERRY XMAS N HAPPY NEW YEAR.

AS THE CEO OF THE CHRONIC BLOG I WOULD LIKE TO WISH Y'ALL MERRY XMAS N A HAPPY NEW YEAR!!!
STAY SAFE N BLESSED Y'ALL
MUCH LUV
#TEAM CHRONICX

Monday, December 24, 2012

NEW JOINT:CHINDO MAN A.K.A UMBWA MZEE(WATENGWA FAMILY) - CHINI(OFFICIAL MUSIC VIDEO).


THIS VIDEO IS FROM OLDSKOOL RAPPER CHINDO MAN REPRESENTING WATENGWA FAMILY FROM ARUSHA CITY,TANZANIA BUT CURRENTLY LIVING IN THE UNITED STATES,THE SONG IS CALLED CHINI AND THE VIDEO IS DONE BY OMAR KASEKO N ITS RELEASED FOR HIS FANS AS A CHRISTMAS PRESENT.ENJOY!!!
                                   #TEAM UMBWA MZEE                       
                 #TEAM WATENGWA FAMILY
                                    

HOW IT WENT DOWN @ WEUSI'S FUNGA MWAKA CONCERT@ MAISHA CLUB IN DAR-ES-SALAAM CITY.

RNB SINGER ENIKA

A-CITY RAPPER JOH MAKINI

A-CITY RAPPER G-NAKOAT THE LEFT SIDE N A-CITY RAPPER NICKI WA PILI AT THE RIGHT.

THE CROWDA-CITY RAPPERS G-NAKO & LORD EYEZ(NAKO 2 NAKO SOLDIERS)Saturday, December 22, 2012

Monday, December 17, 2012

NEW JOINT:ANTO'NEYO - BLOCKA(REMIX).                  
  ###WANENE IZ IN DA HOUSE Y'ALL###

CHIKU KEI BALAA FEAT. SOPRANO MUSIQ - MZUKA (OFFICIAL VIDEO).

FUNGA MWAKA LA WEUSI 2012 @ NEW MAISHA CLUB IN DAR-ES-SALAAM CITY.

DONT MISS THE BIGGEST EVENT FROM WEUSI MUSIC GROUP(BONTA,JOH MAKINI,GNAKO,NIKI WA2 N LORD EYES) @ NEW MAISHA CLUB IN DAR-ES-SALAAM,TANZANIA ON SUNDAY OF 23RD DECEMBER 2012 FOR ONLY 10,000TSHS.THE SHOW WILL INCLUDE LAUNCHING OF NEW TRACK FROM LORD EYEZ PLUS LAUNCHING OF BUM KUBAM DVD.Y'ALL WELCOME 4 THE EPIC SHOW FOR THE END OF THE YEAR 2012!!!       
      #TEAM WEUSI

      #TEAM G.M.F
 ###A-CITY IZ IN DA HOUSE Y'ALL###

FUNGA MWAKA CONCERT @ SHEIKH AMRI ABEID STADIUM-ARUSHA CITY.

DONT MISS CHRISTMAS XTRAVAGANZA @ SHEIKH AMRI ABEID STADIUM FROM 12NOON TO 6:00PM,IF U ARE IN ARUSHA CITY,TANZANIA,IT'S ON SATURDAY 22ND OF DECEMBER 2012 FOR ONLY 4000TSHS.ON STAGE THERE WILL BE ALOT OF A-CITY RAPPERS LIKE BOU NAKO,MO PLUS FIDO FROM VATOLOCO SOLDIERZ,MECCA CHEKA(ALMANDO MWIRORA & RIZY),DOGO JANJA AND FROM DAR-ES-SALAAM ITS ONE OF RAP LEGENDS WELL KNOWN AS JUMA NATURE REPRESENTING TMK WANAUME HALISI.

Thursday, December 13, 2012

KENYAN EMCEE/RAPPER CALLED KIMYA HAS OPENED HIS OFFICIAL WEBSITE.

KENYAN EMCEE/RAPPER WHO GOES BY THE NAME OF KIMYA FROM KIKOSI CHA MIZINGA CREW HAS OPENED HIS OFFICIAL WEBSITE FOR MORE INFORMATION ON HIS PROJECTS.
                    >>>KIMYA'S OFFICIAL WEBSITE<<<

Sunday, December 9, 2012

Anto'Neyo [ The Artist ] - G.A.M. [ LIMITED TIME PREVIEW! ](PRODUCED BY DAZ NALEDGE).

HII NI NYIMBO MPYA TOKA KWA MSANII UNDERGROUND WA MAREKANI CHINI YA WANENE ENTERTAINMENT ANAEJULIKANA KAMA ANTO'NEYO AU THE ARTIST,KAZI IMEFANYIKA PALE WATENGWA RECORDS CHINI YA PRODUCER DAZ NALEDGE.

NASH MC - TABIA(PRODUCED BY DAZ NALEDGE).

 THIS TRACK IS FROM RAPPER FROM DAR-ES-SALAAM CITY WHO GOES BY THE NAME NASH MC REPPIN MIRABA MINNE CREW & TAMADUNI MUSIC GROUP.THE TRACK IS CALLED TABIA N ITS PRODUCED BY DAZ NALEDGE @ WATENGWA RECORDS IN KIJENGE JUU STREET-ARUSHA CITY.


Saturday, December 8, 2012

A-CITY EMCEE/RAPPER DONNIE REPPIN WATENGWA FAMILY IZ BACK.

FROM LEFT PRODUCER DUNGA FROM MANDUGUDIGITAL & RIGHTSIDE ITS DONNIE(D.P) REPPIN WATENGWA FAMILY.
A-CITY FAMOUS EMCEE/RAPPER DONNIE FROM WATENGWA FAMILY IZ BACK IN ACTION AFTER A LONG GONE,HE IS NOW READY TO DROP BOMBS IN THE BOOTH AZ ALWAYZ.
                     #TEAM DONNIE(D.P)
          #TEAM WATENGWA FAMILY
          #TEAM WATENGWA RECORDS

SUGU - HAKUNA MATATA(PRODUCED BY ASHVIN & HERMY .B).

THIS IS A NEW TRACK FROM OLDSKOOL RAPPER N A PARLIAMENT MEMBER FOR MBEYA CITY UNDER CHADEMA POLITICAL PARTY WHO GOES BY THE NAME OF JOSEPH MBILINYI A.K.A MR.2 OR SUGU,THE TRACK IS CALLED HAKUNA MATATA N IT PRODUCED BY ASHVIN N HERMY .B 0F B HITS RECORDS:

Friday, December 7, 2012

TOWILO - LOVE SONG(PRODUCED BY JOHN BLASS).

This Is The Track from A-city Rapper TowilO reppin Sanawari streets n 2 Kaz Mobb,the song is called Love Song n its Produced by John Blass @ Grandmaster Records Ngarenaro-Arusha,Tanzania.

DOUBLE TRACKS FROM 2 KAZ MOBB.
LELO & TOWILO


2KAZ MOBB - ASKARI CHOKO(PRODUCED BY SAMTIMBER & DAZ NALEDGE):


2 KAZ MOBB - M.A.N.G.I(PRODUCED BY DAZ NALEDGE)


BOTH TRACK ARE FOUND IN THIER UPCOMING MIXTAPE CALLED M.A.N.G.I STAY TUNED FOR MORE INFORMATION ON THE MIXTAPE.

CHAMILLIONAIRE FEAT. D.A - SHOW LOVE(OFFICIAL VIDEO).

Monday, December 3, 2012

RAPPER THE GAME NA RAPPER MWENZAKE STAT QUO WAANZISHA RECORD LABEL YAO IITWAYO ROLEX RECORDS.


THE GAME & STAT QUO
Baada ya Mkataba Wake na Interscope Kuisha Rapper Wa Marekani The Game Pamoja na Mwenzake Stat Quo Wamenzashi record label yao wenyewe iitwayo Rolex Records,akiongea na Billboard The Game amesema anatarajia mafanyikio kupitia record label yake hiyo akishirikiana na mwenzake waliekua nae aftermath Records na wote wanategemea kufanya mambo makubwa(Habari hizi Toka tovuti ya hotnewhiphop).

NEW JOINT:WASADIKAYA - ROHO MKONONI.

THE UNDERGROUND SOUNDS KUTOKA PANDE ZA KUSI MBEYA JAPO NI ZAO LA WATENGWA KUTOKA KASI ARUSHA,.JUU YA MIDUNDO YA MO MOCKO,VERSE YA KWANZA+CHORUS KASMAMA EMCEE TANULI,,YA PILI KASMAMA MASH JELLY..TUNALISHA MITAA,,REAL HARCO SHIT

The Making music video HANDS UPS - P Funk ft Lamar, Karabani, John Mahundi, Akili the Brain & Dunga.

JOH MAKINI,AY & FEZA KESSY.

Saturday, December 1, 2012

YUZZO'FIRE BURN' RUBAMA - DUNIA YA LEO.

YUZZOYUZZO:
Ona Dunia ya leo
Habari kwenye radio
Tazama kwenye Tv ooo
Its about Fighting

Don't ask me why aisee,
Sababu ya ubabe ni nishati mazee,
Uajemi Iran wamelengwa nikuelezee,
Kuwait chambo U.S.A Irak avamie,
Korea kaskazini, third world kitanzini,
Vp wanabadirisha siraha na madini ?
Africa kitanzini, third world kitanzini,
Vipi wanabadirisha siraha na madini ?
Don't ask me why aisee,
Afghan noma bado sistee,
Don't ask me why aisee,
Noti ,siasa na vita brazee,

(Bring back their rights,they want to stop to fight. The time is now, and i mean now men)
Ona Dunia ya leo
Habari kwenye radio
Tazama kwenye Tv ooo
Its about Fighting
Wanapigana sababu wanaona hawana say,
wachache wanafaidika wengi hawaelewi,
Korea kusini Uhuru na mabaki ya Nuclear,
Muungano Africa wa sio kusifia,
Kwani wanao kosa haki na ndio wanaopigana,
Wanaongozwa na vibaraka ukombozi unashindwa kupatikana,
Wanaokosa usawa ndio wanaopigana,
wanaongozwa na vibaraka ukombozi unashindwa na vibaraka ukombozi unashindwa kupatikana,
Media inafanya hii biashara inasikitisha, tanyamaza mpka tukisuluhisha,
Mi mwanaharakati ninawakilisha,
Nawakilisha wanyonge,
Nawakilisha mtaani,
Nawakilisha mayatima.
(yeah mpaka Kijenge juu, mpaka 41, mpka mtaani, maghetto zote nini, border to border, ghetto to ghetto, kwa machizi wote wa mtaa, machizi wote waliokua jela, machizi wanaokosa haki zao, wanaharakati wanaonyongwa, kufungwa nini si unajua, hii ni kwa kila anayedondosha chozi la haki)
Ona Dunia ya leo
Habari kwenye radio
Tazama kwenye Tv ooo
Its about Fighting
(n.k machizi inawakilisha wasiothaminiwa sababu ya mitizamo yao ya kimapinduzi)

2005 song.

S.U.A SEASON 1 EPISODE 11:PASS THE MIC AROUND(2/11/2012).ITS ANOTHER SUA EVENT EPISODE 11 SEASON 1, ON THIS SUNDAY 2ND OF NOVEMBER 2012 FROM 9:00PM @ KIJENGE JUU-ARUSHA,TANZANIA OUTSIDE WATENGWA RECORDS,IT WILL BE A MIC PASS AROUND SPECIAL AND THIS WEEKS GUEST WILL BE AN EMCEE FROM DAR CITY,TANZANIA REPRESENTING MIRABA MINNE CREW & TAMADUNI MUZIK COMPANY WHO GOES BY THE NAME NASH EMCEE.THERE WILL ALSO BE CYPHER FROM DIFFERENT EMCEEZ/RAPPERZ.U CANT AFFORD TO MISS IT CAUSE ITS ONN!!! N FREE ENTRANCE AS ALWAYZ.
                   ***SUPPORT UR LOCAL ARTIST ***
                          ###TEAM SUA Y'ALL###

JAKE MILLER - A MILLION LIVES(OFFICIAL VIDEO).

FIDOVATO - HUSTLING(OFFICIAL VIDEO).

Friday, November 30, 2012

RAPPER KUTOKA UINGEREZA ALIECHINI YA USMAMIZI WA WANENE ENTERTAINMENT KUFANYA EP YAKE MPYA NA PRODUCER DAZ NALEDGE WA WATENGWA RECORDS.

DAZ NALEDGE (PRODUCER @ WATENGWA RECORDS)


RAPPER LOUIS HAMMOCK FROM U.K.

Baada Ya kutoa Mixtape yake ya kwanza na Daz naledge iitwayo 'untitled' Rapper Louis Hammock Toka Uingereza ambaye kwa sasa yuko chini ya Wanene Entertainment chini ya mtu Mzima Darsh Pandit ambayo ipo Mjini Arusha.Msanii huyo Louis Hammock anatarajia kuachia EP yake ambayo kazi hiyo itafanyika tena pale Watengwa Records chini ya Mkubwa Wa Kazi Daz Naledge & Dab Muzik.(Habari Hizi Toka Tovuti ya Wanene Entertainment)

Skiliza Hii Nyimbo yake ya Kwanza;
                          Louis Hammock - High:

       ###WANENE'Z IN DA HOUSE###

NEW JOINT:GWARA WARA FT. BEN POL - MAMA YEYOO.Tuesday, November 27, 2012

R.I.P SHARO MILLIONEA.


SHARO MILLIONEA
COMEDIAN FROM TANZANIA POPULARLY KNOWN AS SHARO MILLIONEA DIED IN A CAR CRASH AT MUHEZA-TANGA,TANZANIA,AS REPORTED BY EAST AFRICAN TELEVISION(EATV):- (>>>REPORT FROM EATV<<<)

THIS IS ONE OF THE AIRTEL TV COMMERCIAL  ADVERTISMENT HE PLAYED PART ON:ANOTHER ONE OF HIS ARTWORK(TRAILER FROM HIS MOVIE CALLED "BACK FROM NEWYORK':

MY CONDOLENCE TO HIS FAMILY,FANS N FRIENDS,HE WILL SURELY BE MISSED,MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL FREEDOM.
                       AMEN...
###TEAM SHARO MILLIONEA###
###TEAM VITUKO SHOW###