CHRONICX®: RAPPER THE GAME NA RAPPER MWENZAKE STAT QUO WAANZISHA RECORD LABEL YAO IITWAYO ROLEX RECORDS.

FOLLOW ME:

Instagram

Monday, December 3, 2012

RAPPER THE GAME NA RAPPER MWENZAKE STAT QUO WAANZISHA RECORD LABEL YAO IITWAYO ROLEX RECORDS.


THE GAME & STAT QUO
Baada ya Mkataba Wake na Interscope Kuisha Rapper Wa Marekani The Game Pamoja na Mwenzake Stat Quo Wamenzashi record label yao wenyewe iitwayo Rolex Records,akiongea na Billboard The Game amesema anatarajia mafanyikio kupitia record label yake hiyo akishirikiana na mwenzake waliekua nae aftermath Records na wote wanategemea kufanya mambo makubwa(Habari hizi Toka tovuti ya hotnewhiphop).

No comments:

Post a Comment