CHRONICX®: August 2012

FOLLOW ME:

Instagram

Sunday, August 26, 2012

SLAUGHTER HOUSE WAKIONGELEA KUHUSU UTAFAUTI ULIONEKANA NA WASHABIKI WAO KWENYE NYIMBO YAO MPYA YA "MY LIFE"


Hili ndilo tamko kutoka katika kundi la hiphop toka marekani linalojulikana kama slaughter house baada ya kuskia kua mashabiki wao wa zamani wamelalamika kuwa wameacha misingi ya real hiphop na kuelekea kwenye Commercial baada ya kutoa video yao ya My Life waliomshirikisha mwanamuziki Cee lo Green kutoka katika kundi la Gnarls Barkley.Kundi Hilo la Slaughter house linaundwa na marapper wanne(Royce da 5"9',Joe Budden,Crooked I na Joel Ortiz).

ZIGGILAH(XPLASTAZ) FT. JCB(WATENGWA) - STORY

This Track is from Ziggilah's/kzz the soul plugger's new mixtape called Shule which he expects to release.

Wednesday, August 22, 2012

NOLNIZ: Jambo Squad sasa na Pini Jipya | Mpori Mpori

NOLNIZ: Jambo Squad sasa na Pini Jipya | Mpori Mpori: Fans wote wa mziki mzuri kutoka Arusha, jina Jambo Squad sio geni kwao maana ni moja kati ya kundi linalofanya mziki wa aina yake unaowashi...

Saturday, August 18, 2012

THE MAKING OF MATUSI VIDEO BY BONTA.



Above are the pictures of making the video of Matusi by A-City Rapper from a crew called River Camp Soldiers.

RAPPER SNOOP DOGG ABADILISHA MAISHA YAKE NA KUWA RASTA.

Documentary Mpya Pamoja na Album Mpya ya Rapper Snoop Dogg kuamua kubadilisha maisha yake ya Kigangsta na kuwa Rasta,pia kubadilisha aina ya muziki aliokua akifanya kwa muda mrefu na kuimba Reggae.Anavosema Snoop katika Trailer ya Documentary yake Ni kwamba Maisha yake sasa ndo yapo sehemu aliokua akitarajia kuapo siku nyingi sema ni muda tu ndo ulikua haujafika.Alipoenda Jamaica alikutana na weze wa kijamaica wakampa baraka zao na kumbadilisha jina nw kumuita Snoop Lion.
Documentary yake itaonyeshwa kwa mara ya kwanza tarehe 7 mwezi wa 9 mwaka huu kwenye maonyesho ya Filamu Toronto.

            Huu Ndo Muonekano Mpya Wa Snoop Dogg(Snoop Lion)


                                      
Hii Ndo Trailer Ya Doccumentary yake mpya itakayo onyeshwa kwenya maonyesho ya film Toronto.

STOPPA RHYMES - NEW FLAVOR.


FBG FT. BANX - CYPHER.


KALAPINA FT. BAILA & THE ARTIST - FASIHI


Monday, August 13, 2012

PANISHIT - MARADHI.

This Track is Produced by DefXtro from Noizmekah records n Performed by a new Rapper called Straton Mo Panish from the crew called Ukanda wa gaza(Gaza Gang) from Arusha,Tanzania.The track is Tittled Maradhi.

DJ CHOKA FT. VARIOUS ARTISTS - PAMOJA WE CAN.

This Is a New Project from Dj Choka from Dar,Tanzania teamin up with Different Artists including Rappers  to make Hits records.

G.NAKO FT. A.Y & THE ARTIST - TAKE OFF



This is a new video by A-City Rapper G.nako from a crew called Nako 2 Nako Soldiers & Weusi Music Group which Features singer & Rapper from Dar-Es-Salaam called Ambwene Yessaya(A.Y) & AntoNe-Yo a.k.a The Artist underground singer n rapper from the United States of America.
Enjoy the song.

MAMBO JAMBO SUMMER JAM ARUSHA


Mambo Jambo Summer Jam,Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A City is in tha houseeee!!! Bounako, StopaRh
ymez, Fidovato, WEUSI, TaigaRaiz, Badtaito, J4c, MayC, Veejay, Gfaya, Meccacheka, EffectZero, Gentriez, YungOmega na MirryCandle juu ya stage la kibabe, sound ya kibabe so kama vp jichange buku mbili siku iyo tewnde sawa kibabeeeeeee!!!!endelea kuskiza radio yako inayoaminika..93.0 Mambo Jambo Radio..

NEW JOINT:RAMA DEE FT. MAPACHA - KUWA NA SUBIRA.


Friday, August 10, 2012

S.U.A workshop 1-by Intikana



Intikana from Brooklyn(Bronx) teaching the People of Kijengee Ya Juu(Arusha,Tanzania) @Watengwa Records How the Hook is used in Hiphop.Watch This!!

RAPPER NIKKI WA PILI BIRTHDAY FREESTYLN.


Famous rapper From Arusha,Tanzania from the Crew known as River Camp Soldiers & a Family Music Group well known as Weusi Called Nikki Wa Pili Freestyln on Hiz Birth which waz on 9/8/2012.

Wednesday, August 8, 2012

NEW JOINT:YUZZO - NEVER RUN AWAY

New Reggae Video by Yuzzo from a crew known as Watengwa Family from Arusha,Tanzania the  song is tittled Never Run Away.It was taken in Sweden the place where he is currently living with hiz Family.