CHRONICX®: RAPPER SNOOP DOGG ABADILISHA MAISHA YAKE NA KUWA RASTA.

FOLLOW ME:

Instagram

Saturday, August 18, 2012

RAPPER SNOOP DOGG ABADILISHA MAISHA YAKE NA KUWA RASTA.

Documentary Mpya Pamoja na Album Mpya ya Rapper Snoop Dogg kuamua kubadilisha maisha yake ya Kigangsta na kuwa Rasta,pia kubadilisha aina ya muziki aliokua akifanya kwa muda mrefu na kuimba Reggae.Anavosema Snoop katika Trailer ya Documentary yake Ni kwamba Maisha yake sasa ndo yapo sehemu aliokua akitarajia kuapo siku nyingi sema ni muda tu ndo ulikua haujafika.Alipoenda Jamaica alikutana na weze wa kijamaica wakampa baraka zao na kumbadilisha jina nw kumuita Snoop Lion.
Documentary yake itaonyeshwa kwa mara ya kwanza tarehe 7 mwezi wa 9 mwaka huu kwenye maonyesho ya Filamu Toronto.

            Huu Ndo Muonekano Mpya Wa Snoop Dogg(Snoop Lion)


                                      
Hii Ndo Trailer Ya Doccumentary yake mpya itakayo onyeshwa kwenya maonyesho ya film Toronto.
                           Akiongelea Kuhusu uamuzi aliyoufanya wa kubadili Maisha yake na kuwa Rasta.































No comments:

Post a Comment