CHRONICX®: SLAUGHTER HOUSE WAKIONGELEA KUHUSU UTAFAUTI ULIONEKANA NA WASHABIKI WAO KWENYE NYIMBO YAO MPYA YA "MY LIFE"

FOLLOW ME:

Instagram

Sunday, August 26, 2012

SLAUGHTER HOUSE WAKIONGELEA KUHUSU UTAFAUTI ULIONEKANA NA WASHABIKI WAO KWENYE NYIMBO YAO MPYA YA "MY LIFE"


Hili ndilo tamko kutoka katika kundi la hiphop toka marekani linalojulikana kama slaughter house baada ya kuskia kua mashabiki wao wa zamani wamelalamika kuwa wameacha misingi ya real hiphop na kuelekea kwenye Commercial baada ya kutoa video yao ya My Life waliomshirikisha mwanamuziki Cee lo Green kutoka katika kundi la Gnarls Barkley.Kundi Hilo la Slaughter house linaundwa na marapper wanne(Royce da 5"9',Joe Budden,Crooked I na Joel Ortiz).


Hii ndiyo video yao inayojulikana kama My Life iliyopokelewa kwa mtazamo tofauti kutoka kwa mashabiki wao wa tangu zamani.

No comments:

Post a Comment