CHRONICX®: YUZZO'FIRE BURN' RUBAMA - DUNIA YA LEO.

FOLLOW ME:

Instagram

Saturday, December 1, 2012

YUZZO'FIRE BURN' RUBAMA - DUNIA YA LEO.

YUZZO



YUZZO:
Ona Dunia ya leo
Habari kwenye radio
Tazama kwenye Tv ooo
Its about Fighting

Don't ask me why aisee,
Sababu ya ubabe ni nishati mazee,
Uajemi Iran wamelengwa nikuelezee,
Kuwait chambo U.S.A Irak avamie,
Korea kaskazini, third world kitanzini,
Vp wanabadirisha siraha na madini ?
Africa kitanzini, third world kitanzini,
Vipi wanabadirisha siraha na madini ?
Don't ask me why aisee,
Afghan noma bado sistee,
Don't ask me why aisee,
Noti ,siasa na vita brazee,

(Bring back their rights,they want to stop to fight. The time is now, and i mean now men)
Ona Dunia ya leo
Habari kwenye radio
Tazama kwenye Tv ooo
Its about Fighting
Wanapigana sababu wanaona hawana say,
wachache wanafaidika wengi hawaelewi,
Korea kusini Uhuru na mabaki ya Nuclear,
Muungano Africa wa sio kusifia,
Kwani wanao kosa haki na ndio wanaopigana,
Wanaongozwa na vibaraka ukombozi unashindwa kupatikana,
Wanaokosa usawa ndio wanaopigana,
wanaongozwa na vibaraka ukombozi unashindwa na vibaraka ukombozi unashindwa kupatikana,
Media inafanya hii biashara inasikitisha, tanyamaza mpka tukisuluhisha,
Mi mwanaharakati ninawakilisha,
Nawakilisha wanyonge,
Nawakilisha mtaani,
Nawakilisha mayatima.
(yeah mpaka Kijenge juu, mpaka 41, mpka mtaani, maghetto zote nini, border to border, ghetto to ghetto, kwa machizi wote wa mtaa, machizi wote waliokua jela, machizi wanaokosa haki zao, wanaharakati wanaonyongwa, kufungwa nini si unajua, hii ni kwa kila anayedondosha chozi la haki)
Ona Dunia ya leo
Habari kwenye radio
Tazama kwenye Tv ooo
Its about Fighting
(n.k machizi inawakilisha wasiothaminiwa sababu ya mitizamo yao ya kimapinduzi)

2005 song.

No comments:

Post a Comment