CHRONICX®: "THA RETURN OV DOG 'UMBWA MZEE JOMBI' NYANGAU"

FOLLOW ME:

Instagram

Friday, October 15, 2010

"THA RETURN OV DOG 'UMBWA MZEE JOMBI' NYANGAU"

Hardcore Rap kutoka Watengwa family anejulikana Kama Chindoman a.k.a umbwa anatarajia kurudi nchini Tanzania mkoani Arusha mwishoni mwa mwezi huu octoba baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda mrefu na familia yake kimaisha.Rapper huyo amesema kuwa atakuja na album yake mpya kwahiyo mashabiki kaeni mkao wa kula.

1 comment: