CHRONICX®: WASIFU WA(BIOGRAPHY OF):NITTY SCOTT MC.

FOLLOW ME:

Instagram

Wednesday, August 28, 2013

WASIFU WA(BIOGRAPHY OF):NITTY SCOTT MC.

Nitzia Scott a.k.a Nitty scott Mc amezaliwa Mwezi Octoba,mwaka 1990 Michigan,Marekani na Kulelewa Orlando,Florida-Marekani.Mama Yake ana asili ya Kipotorico wakati Baba yake ni Mmarekani Mweusi kutoka new Orleans.Nitty Scott Mc ameanza kurap akiwa na Miaka 14 wakati alipoanza kuhudhuria shule ya sanaa akiwa na uandishi mzuri sana wa kufikiria.Alipokua katika shule ya sanaa alikua anafanya ushairi kabla hajawa Mwanamuziki.Akiwa na miaka 17,Nitty Scott Mc alihamia jiji La New York kuendeleza kazi yake kama Rapper.Nitty allisoma shule ya secondary ya uandishi wa Habari pale John Jay High School iliopo Park slope,Brooklyn.Alipokua Jiji la Newyork Nitty Scott Mc aliunda Kunda La Kiharakati za Hiphop Liitwalo BoomBox Family ilikuhifadhi na Kuendeleza Utamaduni wa HipHop.
Mwaka 2011,Nitty Scott Mc Alishiriki katika Cypher za Tuzo za BET Hiphop Pamoja na Mwanamuziki wa kike kutoka Uingereza aitwae Estelle wakiongozwa Na Dj Premier,mbali na Hapo pia alishawahi Kushiriki tamasha la Hiphop Brooklyn(Brooklyn Hiphop Festival) la mwaka 2011 iliongozwa na Q-tip.Mwaka 2012.Nitty Scott Mc Alishiriki kutoa Burudani pale kwenye maonyesho Switzerland akiwemo na Rapper Mkongwe toka kundi la Westside Connection Ice Cube na Mos Def.
Tarehe 28,mwezi wa nane Mwaka 2012,Nitty Scott MC alitoa  EP album yake yakwanza aliyoipa jina la The Boombox Diaries Vol.1.Kweneye iyo album aliwashirikisha watayarishaji mbali mbali wa mziki akama 6th sense,AraabMuzik,Cassius Clay,Dj Tedsmooth,!ll mind na j57 na pia amewashirikisha  wasanii kama Kendrick Lamar,Action Bronson na The Kid Daytona na wengine wengi.Kwenye Reviesw ya Nick De Molina ya XXL aliipa album  hiyo heshima ya XL na kumeleze msanii Nitty Scott Mc Kama Rapper Makini na kuisifu utayarishaji wa Album hiyo.
Mwezi Juni,Tarehe 16 Mwaka Huu(2013),Nitty Scott Mc aliachia Video yake ya Flower Child aliomshirikisha Rapper Kendrick Lamar Kutoka Compton kwenye MTV jams katika Channel ya MTV.Video Shoot yake Iliwezeshwa na Mashabiki wake Kwa ushirikiano wao Kifedha Pamoja na wawezesha wengine.


No comments:

Post a Comment