CHRONICX®: HABARI:KAMPUNI YA FILAMU YA MAREKANI 'LIONSGATE' YAFUNGUA MASHTAKA KUFWATIA UVUJAJI WA FILAMU YA "THE EXPENDABLES 3' MTANDAONI.

FOLLOW ME:

Instagram

Saturday, August 2, 2014

HABARI:KAMPUNI YA FILAMU YA MAREKANI 'LIONSGATE' YAFUNGUA MASHTAKA KUFWATIA UVUJAJI WA FILAMU YA "THE EXPENDABLES 3' MTANDAONI.

KUFWATIA UVUJAJI WA FILAMU YA MASTAA MAARUFU SANA NCHINI MAREKANI KWA UPANDE WA FILAMU ZA ACTION IITWAYO "THE EXPENDABLES 3',ULIOTAJWA KUTOKEA TAREHE 24 JULAI MWAKA HUU(2014) KAMPUNI INAYOHUSIKA NA UTAYARISHAJI WA FILAMU HIYO INAYOJULIKANA KAMA "LIONSGATE' IMEFUNGUA MASHTAKA DHIDI YA WAHUSIKA WOTE WA TOVUTI KADHAA ZA TORRENT ZILIZOHUSIKA NA UVUJAJI WA FILAMU HIYO AMBAYO WAMILIKI WAKE HAWAJULIKANI. MASHTAKA HAYO YAMEELEKEZWA KWA WAMILIKI WA TOVUTI ZA TORRENT ZIFWATAZO:- 1/LIMETORRENT.COM 2/BILLIONUPLOADS.COM 3/HULFILE.EU 4/PLAYED.TO 5/SWANTSHARE.COM 6/DOTSEMPER.COM NA PIA MASHTAKA DHIDI YA WATUMIAJI WOTE WA TOVUTI ZA TORRENT AMBAO WANAOENDELEA KUIDOWNLOAD NA KUISAMBAZA UPYA MUVI HIYO MTANDAONI.
MSTAA WALIOCHEZA MUVI YA "THE EXPANDABLES 3'

No comments:

Post a Comment