CHRONICX®: COMING SOON:ALBUM MPYA YA EMINEM INAYOKWENDA KWA JINA LA MARSHALL MATHERS LP VOL.2 YATANGAZWA KUACHIWA HIVI KARIBUNI.

FOLLOW ME:

Instagram

Saturday, September 21, 2013

COMING SOON:ALBUM MPYA YA EMINEM INAYOKWENDA KWA JINA LA MARSHALL MATHERS LP VOL.2 YATANGAZWA KUACHIWA HIVI KARIBUNI.

BAADA YA TUZO ZA MUZIKI ZA MTV 2013 KAMPUNI YA BEATS BY DRE INAYOONGOZWA NA PRODUCER NA RAPPER MKONGWE ANDRE YOUNG ANAEJULIKANA KWA JINA LA KISANII KAMA DR DRE,ILITANGAZA ALBUM MPYA YA EMINEM KUWA INATARAJIA KUACHIWA TAREHE 5 MWEZI WA 11 MWAKA 2013.

HII HAPO CHINI NDO ALBUM COVER YA MARSHALL MATHER S LP V0L.2:

ALBUM COVER YA MMLP VOL.2
ALBUM COVER HII NI PICHA YA NYUMBA AMBAYO EMINEM AMEKULIA KIPINDI AKIWA MTOTO NA HIVI SASA INAUZWA.

No comments:

Post a Comment