CHRONICX®: EMCEE MKONGWE ANAEJULIKANA KAMA MC LYTE ANATARAJIA KUPOKEA TUZO YA "I AM HIPHOP" KWENYE TUZO ZA BET HIPHOP 2013.

FOLLOW ME:

Instagram

Thursday, September 26, 2013

EMCEE MKONGWE ANAEJULIKANA KAMA MC LYTE ANATARAJIA KUPOKEA TUZO YA "I AM HIPHOP" KWENYE TUZO ZA BET HIPHOP 2013.

BAADA YA RAPPA MKONGWE RAKIM KUCHKUA TUZO YA "I AM HIPHOP" ILIOTOLEWA NA TUZO ZA BET HIPHOP AWARDS MWAKA JANA SASA,BET YA MTANGAZA ATAKAECHUKUA TUZO HIYO KWA MWAKA HUU(2013) KUWA NI EMCEE MKONGWE WA KIKE ANAEJULIKANA KWA JINA LA KISANII KAMA MC LYTE,AMBAE ALISHA WAHI KUTAMBA NA NYIMBO KAMA KEEP ON ALIOSHIRIKISHA WASANII WA RNB WAJULIKANAO KAMA XSCAPE NA COLD ROCK A PARTY ALICHOMSHIRIKISHA RAPPA MWINGINE WA KIKE ANAEJULIKANA VEMA KAMA MISSY ELIOT.TUZO HIZO ZIMEPANGWA KUFANYIKA TAREHE 15 MWEZI OCTOBA(10) MWAKA HUU(2013) NA ZITATANGAZWA NA MSANII SNOOP DOG(UNCLE SNOOP) A.K.A SNOOP LION NA ZITARUSHWA MOJA KWA MOJA NA CHANNEL YA BET YA MAREKANI.

No comments:

Post a Comment