CHRONICX®: COMING SOON:MIXTAPE MPYA YA KUNDI LIJULIKANALO KAMA SERIAL KILLERS.

FOLLOW ME:

Instagram

Friday, October 25, 2013

COMING SOON:MIXTAPE MPYA YA KUNDI LIJULIKANALO KAMA SERIAL KILLERS.

MIXTAPE COVER
KUNDI LINALOUNDWA NA MARAPPA WAKONGWE WATATU KUTOKA MAREKANI LIJULIKANALO KAMA SERIAL KILLERS WATARAJIA KUTOA MIXTAPE INALOENDA KWA JINA LA KUNDI.MARRAPA WANALOUNDA KUNDI HILO NI PAMOJA NA B REAL KUTOKA KUNDI LA CYPRESS HILL,DEMRICK & XZIBIT

No comments:

Post a Comment