CHRONICX®: DMX NA SWIZZ BEATS(RUFF RYDERS) WARUDIANA NA KUFANYA KAZI PAMOJA BAADA YA KUTOKUA NA MAELEWANO MAZURI KWA MUDA MREFU.

FOLLOW ME:

Instagram

Tuesday, October 15, 2013

DMX NA SWIZZ BEATS(RUFF RYDERS) WARUDIANA NA KUFANYA KAZI PAMOJA BAADA YA KUTOKUA NA MAELEWANO MAZURI KWA MUDA MREFU.

BAADA YA KUTOKUWA NA MAELEWANO MAZURI KWA MUDA MREFU KATI YA RAPPA DMX NA MWENZAKE WA KUNDI MOJA AMBAE PIA NI MTAYARISHAJI WA MUZIKI ANAEJULIKANA KAMA SWIZZ BEATS(AMBAE NI MUME WA MWANAMUZIKI WA RNB ALICIA KEYS) SASA WARUDIANA ,NA WANATARAJIA KUFANYA KAZI TENA KAMA ZAMANI NA MOJA WAPO  YA KAZI WANAYOANZA NAYO NI ALBUM MPYA YA RAPPA DMX AMBAE SWIZZ BEATS NDO ANAEIANDAA.

DMX & SWIZZ BEATS WAKIWA KATIKA SHOW YA ALICIA KEYS

No comments:

Post a Comment