CHRONICX®: MAKING THE VIDEO:RAPPA WA MAREKANI DMX AKIFANYA VIDEO YA NYIMBO YAKE MPYA.

FOLLOW ME:

Instagram

Tuesday, October 1, 2013

MAKING THE VIDEO:RAPPA WA MAREKANI DMX AKIFANYA VIDEO YA NYIMBO YAKE MPYA.

DMX MAKING THE VIDEO "DONT CALL ME'
RAPPA WA MAREKANI EARLY SIMMONS ANAEJULIKA KWA JINA LA KISANII KAMA DARK MAN X(DMX) AKIWA ANATAYARISHA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA ALIOMSHIRIKISHA RAPPA MWENZAKE MKONGWE ANAEJULIKANA KAMA RAKIM NA MWANADADA ANAEFANYA RNB ANAEJULIKANA KAMA SHONTELLE.NYIMBO HIO INAKWENDE KWA JINA LA "DON'T CALL ME' 

No comments:

Post a Comment