CHRONICX®: FILAMU MPYA MAARUFU KWA JINA LA "THE EXPENDABLES 3' IMEVUJA MTANDAONI KABLA YA SIKU RASMI YA KUACHIWA.

FOLLOW ME:

Instagram

Saturday, July 26, 2014

FILAMU MPYA MAARUFU KWA JINA LA "THE EXPENDABLES 3' IMEVUJA MTANDAONI KABLA YA SIKU RASMI YA KUACHIWA.

MA-STAA WALIOSHIRIKI KUCHEZA MUVI HII YA "THE EXPENDABLES3'
FILAMU MPYA ILIYOCHEZWA NA MASTAA WAKUBWA SANA KATIKA TASNIA YA FILAMU ZA ACTION NCHINI MAREKANI IJULIKANAYO KAMA "THE EXPENDABLES 3' IMEVUJA MTANDAONI KABLA YA TAREHE RASMI ILIYOPANGWA KUACHIWA SOKONI.
FILAMU HIYO INASEMEKANA KUVUJA IKIWA BADO WIKI TATU IACHIWE RASMI SOKONI NA IMESHADOWNLOADIWA ZAIDI YA MARA 189,000 KINYUME NA TARATIBU.

No comments:

Post a Comment