CHRONICX®: NEW JOINT:NAS - REPRESENT(OFFICIAL MUSIC VIDEO).

FOLLOW ME:

Instagram

Tuesday, July 15, 2014

NEW JOINT:NAS - REPRESENT(OFFICIAL MUSIC VIDEO).


AKIADHIMISHA MIAKA ISHIRINI(20) TOKA KUACHIA KWA ALBUM YAKE YA KWANZA IJULIKANAYO KAMA "ILLMATIC",EMCEE NA RAPPA NASIR JONES ANAEJULIKANA KWA JINA LAKE LA KISANII KAMA NAS AMEAMUA KUACHIA VIDEO YA MOJA YA UWIMBO WAKE TOKA KWENYE ALBUM YAKE HIYO YA KWANZA NA PIA KUALIKA MASHABIKI WAKE ILI KUSHIRIKI KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO HIYO KATIKA VIWANJA VYA YOUTUBE SPACE HUKO LOS ANGELES,MAREKANI.

No comments:

Post a Comment