CHRONICX®: RAPPER EMINEM AWEKA HISTORIA KWA KUFANYA ONYESHO KATIKA UWANJA WA MPIRA.

FOLLOW ME:

Instagram

Sunday, July 13, 2014

RAPPER EMINEM AWEKA HISTORIA KWA KUFANYA ONYESHO KATIKA UWANJA WA MPIRA.RAPPA  WA MAREKANI ANAEJULIKANA KAMA EMINEM AWEKA HISTORIA BAADA YA KUWA RAPPA WA KWANZA KUFANYA ONYESHO KATIKA UWANJA WA MPIRA WA WEMBLEY ULIOPO NCHINI  UINGEREZA MNAMO TAREHE 11 MWEZI WA 7 MWAKA HUU(2014).KATIKA ONYESHO HILO PIA ALIAMBATANA NA RAFIKI YAKE WA MDA MREFU,RAPPA NA MTAYARISHAJI WA MUZIKI WA HIPHOP AJULIKANAE KAMA DR. DRE.

No comments:

Post a Comment