CHRONICX®: NYIMBO MPYA:ANTO'NEYO A.K.A THE ARTIST - PO'AH(PRODUCED BY QUANBEATZ).

FOLLOW ME:

Instagram

Thursday, October 18, 2012

NYIMBO MPYA:ANTO'NEYO A.K.A THE ARTIST - PO'AH(PRODUCED BY QUANBEATZ).

ANTO'NEYO A.K.A THE ARTIST
Hii Ni Nyimbo Mpya Msanii kutoka Marekani anaejulikana Kama Anto'Neyo a.k.a The Artist akiwa chini ya Wanene Entertainment inayoongozwa na Darsh Pandit.Nyimbo imetengenezwa na Rapper/Producer Quanbeatz kutoka marekani nyimbo inaitwa Po'Ah isikilize:

Msani  Huyo Pia Ameshawahi kufanya kazi na Gnako pamoja na Ay kwenye nyimbo inayoitwa Take off mbali na hiyo msanii Huyo anategemea kufanya kazi na wasanii Kama Cpwaa,Godzilla,One the Incredible,Lord eyez na Mabeste.Tegemea Kazi nyingi na nzuri Kutoka Wanene Entertainment>>>
                         #WANENE IZ IN DA HOUSE#

No comments:

Post a Comment