CHRONICX®: PLEASE VOTE FOR QUANBEATZ,RAPPER FROM WANENE ENTERTAINMENT IN THE UNITED STATES SO AS TO ENABLE HIM TO PERFORM IN COAST2COAST INDUSTRY SHOWCASE AT CHICAGO.

FOLLOW ME:

Instagram

Saturday, October 6, 2012

PLEASE VOTE FOR QUANBEATZ,RAPPER FROM WANENE ENTERTAINMENT IN THE UNITED STATES SO AS TO ENABLE HIM TO PERFORM IN COAST2COAST INDUSTRY SHOWCASE AT CHICAGO.

KUTOKA WANENE ENTERTAINMENT ARUSHA AMBAYO PIA KWA SASA INAJITAHIDI KUPANDISHA VIPAJI VYA WASANII WA TANZANIA NA HUYU NI PRODUCER NA MSANII  AMBAYE ANAFANYA KAZI NA WANENE ENT. PANDE ZILE ZA AMERICA ALIPO PRODUCER DARSH KWA SASA

Quantrell Wilkes, better known by his stage name "QuanBeatz", ni rapper/producer kutoka Mid-west ambaye yupo Wanene Entertainment-Arusha.  

Msanii huyu ambaye pia ni Producer ni mmoja kati ya watu wanaoupa tough mziki wa Bongo pande zile za Amerika ambapo anaziupload ngoma za bongo katika Web tofauti zinazotembelewa sana pande zile za nje na hata hivyo yuko Tayari kufanya kazi na msanii yeyote wa Bongo ukimtafuta wasiliana tu na Producer Darsh Pandit Mmiliki wa Wanene Entertainment

QUANBEATZ
Msanii Huyu anaomba Kura zenu ili kumuwezesha yeye kupiga hatua katika safari yake kimziki
Bonyeza Hii Link alafu kama upo Facebook then utaona alama ya facebook mbele yake imeandikwa vote vivyo Hivyo na twitter.
                           http://coast2coastmixtapes.com/audiodetail.aspx?audioid=200097
QUANBEATZ AT STUDIO.

http://coast2coastmixtapes.com/audiodetail.aspx?audioid=200097

Hii ni Nyimbo yake inaitwa My City ambaye biti Kagonga mwenyewe na kamshirikisha Msanii mwenzake anaejulikana kama Mac Milli:

"Wanene iz in da house..."

No comments:

Post a Comment