CHRONICX®: DR DRE AONGOZA KWENYE ORODHA YA WASANII WA HIPHOP MATAJIRI YA FORBES CASH KING.

FOLLOW ME:

Instagram

Thursday, October 18, 2012

DR DRE AONGOZA KWENYE ORODHA YA WASANII WA HIPHOP MATAJIRI YA FORBES CASH KING.

LIL WAYNE & DR DRE

DR DRE A.K.A THE CHRONIC

 Mc/Rappa na Mtayarishaji wa Muziki kutoka Los Angles Marekani anaitwae Andre Young anajulikana vema kama Dr.Dre au The Chronic atajwa kuwa msanii wa hiphop tajiri duniani katika Orodha ya marappa matajiri ya Forbes Cash King kutokana na mauzo ya headphones na earphones zake zinazojulikana kama BEATS BY DRE akifwatiwa na Sean Combs maarufu kama P.Diddy baada ya mauzo ya kinywaji cheka kinachojulikana kama Ciroc orodha kamili hii hapa(kutoka Hiphop Dx):

1. Dr. Dre: $110 million
2. Diddy: $45 million
3. Jay-Z: $38 million
4. Kanye West: $35 milliom
5. Lil Wayne: $27 million
6 Drake: $20.5 milliom
7. Birdman: $20 million
8. Nicki Mianj: $15.5 million
9. Eminem: $15 millionv10. Ludacris: $12 million
11. Pitbull: $9.5 million
12. Rick Ross: $9 million (tie)
13. Wiz Khalifa: $9 million (tie)
14. Snoop Dogg: $8 million
15. 50 Cent: $7.5 million
16. Swizz Beatz: $7 million (tie)
17. Pharrell: $7 million (tie)
18. Young Jeezy: $7 million (tie)
19. Mac Miller: $6.5 million (tie)
20. Akon, Timbaland & Tech N9ne (tie): $6 million (tie)
   
                                                              
                                  VIDEO INAYOELEZEA TUKIO  

No comments:

Post a Comment